Monday, February 7, 2011


Beyonce na Jay-z wakiwa katika moja ya mapumziko ya wikend..je mastaa wa kwetu wanaweza kufanya vitu hivi jamani?

Sunday, January 23, 2011

MOUNT MERU UNIVERSITY


Hiki ndo chuo kikuu cha Mount Meru University kilichopo Arusha Ngaramtoni kama unakwenda Namanga.kinatoa kozi kama Business Adiministration, Educatoin Pamoja na Theology,nyote mnakaribishwa.

NEW BLOG

Hii ni blog mpya jamani hasa kwa vijana wote..iko katika majaribio tu,tutarajie mambo mengi mazuri sana jamani.